Judges 5:11

11 ajuu ya sauti za waimbaji
mahali pa kunyweshea maji.
Wanasimulia matendo ya haki ya Bwana,
matendo ya haki ya mashujaa wake
katika Israeli.

“Ndipo watu wa Bwana
walipoteremka malangoni pa mji.
Copyright information for SwhNEN